Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki
Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa
na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019. (Picha na Ikulu).
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki
Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa
na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya Waumini nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa
Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko
MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth
Magufuli wakitoa Sadaka zao waliposhiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka
“C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Sirro nje ya kanisa
Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam
iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya Waumini nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa
Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko
MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saimon Sirro na mtoto fulana
maalumu za sherehe ya kuadhimisha miaka 75 ya kuzaliwa kwa Mhadhama Polcapy
Kadinali Pengo, nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya
18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule,
Agosti 04,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia
Muumini mtoto Rozali takatifu nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa
Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Paroko
MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya Waumini nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa
Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko
MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
No comments:
Post a Comment