HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 08, 2019

YANGA YACHOMOA USIKU, YATOKA SARE 1-1 NA PAMBA YA MWANZA

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, akichuana na beki wa Pamba SC ya Mwanza katika mechi ya kirafiki iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza jana. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Abdallah Chaus).

No comments:

Post a Comment

Pages