Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakiwa na vifaa vya kufanyia usafi wakati wakiwasili katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakifanya usafi katika Msikiti wa Imam Jabir Bin Zaid uliopo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Tawi Kuu la I&M Bank, Bw. Imran Walli, akifanya usafi katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Tawi Benki ya I&M tawi la Nyerere, Bw. Alamin Lwano, akimkabidhi mteja zawadi kama sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya I&M wakifanya usafi katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Benki ya I&M Tawi la Nyerere wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment