Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni
km 76.6 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja la Kavuu M
85.3 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kibaoni mkoani Katavi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi wa Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kuwasili wakati akitokea
wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
Sehemu ya barabara ya
Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamila kujengwa kwa lami na kufunguliwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kama
inavyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kibaoni
mkoani Katavi mara baada ya kufungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6
iliyokamila kujengwa kwa lami pamoja na Daraja la Kavuu M 85.3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kizi
mkoani Rukwa wakati akielekea Kibaoni mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichagua nyama ya porini mara
baada ya kujumuika na wadau mbalimbali, Wafanyakazi wa TANAPA, Askari wa
Wanyama Pori, Wabunge, Mawaziri katika mbuga ya wanyama ya Katavi wakati akielekea
Mpanda mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wanyama aina ya viboko
katika hifadhi ya Taifa ya Katavi mara
baada ya kusimama wakati akielekea Mpanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo
mkoani Katavi mara baada ya kuwasili akitokea Kibaoni. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment