Wachezaji
wa Ngorongoro Heroes wakishangilia baada ya kuifunga Kenya 1-0 katika
mchezo wa fainali ya michuano ya Chalenji U-20 jijini Jinja Uganda.
(Picha na TFF).
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, Kelvin John, akiwa ameshikilia tuzo mbili za Mchezaji Bora na Mfungaji Bora alizotwaa katika michuano ya Chalenji iliyofikia tamati leo jijini Jinja, Uganda. Kelvin aliisaidia Ngorongoro Heroes kutwaa ubingwa wa michuano hiyo kwa kuifunga Kenya 1-0.
No comments:
Post a Comment