Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Shirika la International Finance Corporation (IFC) kuhusu usawa wa Jinsia makazini ulifanyika Oktoba 30, 2019 jijini Dar es Salaam leo. Mdahalo huo uliwakutanisha wakurugenzi kutoka taasisi za fedha na wajasiriamali. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani. (Na Mpiga Picha Wetu).
October 31, 2019
Home
Unlabelled
NMB YASHIRIKI MDAHALO WA USAWA WA JINSIA MAKAZINI
NMB YASHIRIKI MDAHALO WA USAWA WA JINSIA MAKAZINI
Share This

About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment