Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi wa uboreshaji wa huduma ya maji Vwawa mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vikundi vya ngoma za
asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani Songwe. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment