Walimu
wakiwa wamembeba mwanafunzi bora wa nidhamu, Mara Mwita baada ya kutangazwa
katika sherehe za Mahafali ya Pili ya kumaliza Elimu ya Msingi katika Shule ya
Msingi Misitu, Kivule, wilayani Ilala, Dar es Salaam jana. Wanafunzi 182 walihitimu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Wanafunzi
wakicheza ngoma wakati wa sherehe hizo za mahafali kwenye viwanja vya shule
hiyo.
Wanafunzi
wakicheza shoo ya muziki wa kihindi wakati wa kuwaaga wanafunzi waliomaliza
darasa la saba katika Shule ya Msingi
Misitu, Kivule, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment