HABARI MSETO (HEADER)


October 18, 2019

STARS YAPINDUA MEZA YAIPIGA SUDAN 2-1 NA KUFUZU CHAN

 Mchezaji wa Sudan akimzonga mwamuzi.
 Mchezaji wa Stars akimiliki mpira.
Mashabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakishangilia wakati timu yao ikipambana na Sudan kwenye Uwanja wa El Merriekh, Omdurman katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Stars imeshinda 2-1. na kufuzu fainali za michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages