HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 03, 2019

YANGA YANUSURIKA KWENDA SELO YATOKA SARE YA 1-1 NA POLISI TANZANIA

Wachezaji wa timu ya Polisi Tanzania wakitoka kushangilia baada ya kupata bao katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Said Powa).
Mashabiki wa Yanga. 
 Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, akitafuta mbinu ya kumtoka mchezaji wa Polisi Tanzania.
Mshambuliaji wa Yanga, David Molinga, akiwa amembeba kiungo mkabaji wa timu hiyo, Abdulaziz Makame, mara baada ya kuisawazishia timu yake bao la tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru. Kushoto ni beki wa kushoto wa timu hiyo, Ally Mtoni. Timu hizo zilitoka sare ya 3-3.

No comments:

Post a Comment

Pages