Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu alipowasili
katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es
salaam leo Novemba 07, 2019 kwa ajili ya kufungua Mkutano wa siku tano kwa
Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa
Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili
Mustakbali wa Masuala yote ya afya,
Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji
wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999,
Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja
Maazimio mbalimbali yanayohusiana na
Afya kwa Nchi za SADC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na
Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama
wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa
Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya
Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya
SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa
Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali
yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019
katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiagana na Baadhi ya Wajumbe baada yakufungua Mkutano wa siku
tano wa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi
kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua
iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na
kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019
katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergmena Tax baada ya kufungua Mkutano wa siku tano kwa
Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa
Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya,
Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji
wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999,
Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja
Maazimio mbalimbali yanayohusiana na
Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano
huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya
Tanzania Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment