HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 05, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWA APISHA CAG, MAJAJI 12 WA MAHAKAMA KUU, MAKAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU PAMOJA NA BALOZI MMOJA IKULU JIJINI DSM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG). Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Bw. Charles Edward Kichere mara baada ya kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG). Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Joachim Chrles Tiganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Angela Anthony Bahati kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Angaza Elias Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kanali Francis Ronald Mbindi kuwa Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu Kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Amina Talib Ali Kuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam, Novemba 4, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Aisha Amour kuwa balozi wa Tanzania Nchni Kuwait. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2019.

 Viongozi walioapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakila kiapo cha Maadili kwa viongozi wa umma Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2019.
 Viongozi walioapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakiweka sahihi kwenye hati ya kiapo cha Maadili kwa viongozi wa umma Ikulu jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada kuwaapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam novemba 4, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada kuwaapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam novemba 4, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu Mhe. Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Agustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha Dkt. Isidori Mpango pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 4, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG) mpya Bw. Charles Kichere, Watendaji wa Ofisi ya CAG pamoja na Makamu Mwenyeki wa Kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Aesh Hilaly Ikulu jijini Dar es salaam novemba 4, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages