RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) (kulia
kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar.(ZBC) Ndg. Chande
Omar Omar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, mkutano huom umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi
mmoja Zanzibar. (Picha na Ikulu).
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo
akizungumza kamla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wafanyakazi wa (ZBC )
katika ukumbi wa Shirika hilo.
MFANYAKAZI wa Shirika la Utangazaji Zanzibar Bi. Faida Daud akizungumza wakati
wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC
TV mnazi mmoja.
MFANYAKAZI
wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg.
Juma Mmanga akichangia wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment