HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 18, 2020

YANGA GWARIDE LAWASHINDA KWA POLISI TANZANIA

 Kiungo wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoo, akiruka juu kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. (Picha na Polisi Tanzania).

No comments:

Post a Comment

Pages