HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 08, 2020

Benki ya NMB Yaazimia Kuchangia Upatikanaji wa Usawa wa Kijinsia

Benki ya NMB yaunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani #EachForEqual*, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote.Kwa pamoja wameazimia  kuchangia upatikanaji wa Usawa wa Kijinsia duniani na tayari wameanza kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Pages