Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Dkt.Anna Makakala, akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George
Simbachawene (hayupo pichani).Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Makao
Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kulia ni Kamishna wa Utawala na Fedha,Peter
Chogero.
Kamishna wa Utawala na
Fedha, Peter Chogero akizungumza wakati wa Kikao Kazi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Kikao
hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Kushoto
ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala.
No comments:
Post a Comment