HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2020

DK. BASHIRU AONGOZA VIONGOZI KUMPA MKONO WA POLE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE KWA KUONDOKEWA NA BABA YAKE MZEE BONIFACE SIMBACHAWENE

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kulia), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa huyo, Marehemu Boniface Simbachawene,Ilazo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni  akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa wizara hiyo,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt. Damas Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(hayupo pichani).Marehemu Boniface Simbachawene amefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimpa pole Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), alivyofika kuhani msiba wa Baba Mzazi wa waziri huyo, Marehemu Boniface Simbachawene aliyefariki katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages