Nyumba ya askofu Gwajima ikiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati yeye mwenyewe akiwa ndani yeye na familia yake.
Ulinzi uliimarishwa kila kona nyumbani kwa askofu Gwajima.
Ulinzi mkali nyumbani kwa Gwajima.
Askari Polisi akiwa katika doria nje ya nyumba ya askofu Gwajima.
Polisi wakiwa katika doria nyumbani kwa askofu Josephat Gwajima leo.
Wakili wa askofu Gwajima, Peter Kibatala (wa pili kushoto) akiteta jambo na maofisa wa Polisi waliokuwa wameizingira nyumba ya askofu huyo.
Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa wameimarisha ulinzi nje ya nyumba ya askofu Gwajima.
Waumini wa askofu Gwajima wakiwasili katika makazi ya askofu huyo baada ya kupata taarifa za nyumba yake kuzingirwa na askari Polisi tangu majira ya saa 12 asubuhi.
Waumini wakiwasili nyumbani kwa gwajima.
Waumini wakiimba nyimbo na kushangilianje ya nyumba ya Gwajima.
Waumini wakiwa nje ya nyumba ya Gwajima.
Askofu Gwajima akitoka ndani ya nyumba yake baada ya Polisi kuondoka na kumtaka kwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima
akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza
wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (katikati) akiwa na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.
Askofu Gwajima (kushoto) akitoka mahakamani.
No comments:
Post a Comment