HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 12, 2020

IBADA YA SIKUKUU YA PASAKA KATIKA PICHA

 Waumini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatima Parokia ya Mwanjelwa Jimbo Kuu la Mbeya wakiwa katika Ibada ya Sikukuu ya Pasaka iliyoongozwa na Rais wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) na Askofu wa Jimbo la Mbeya, Gervas Nyaisonga. (Picha na Kenneth Ngelesi).
 Waumini wakiwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu jijini Dodoma leo. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages