HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 28, 2020

JAJI MKUU MSTAAFU AGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanziana Augustino Ramadhani amefariki dunia leo Aprili 28 Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kweye ukurasa wa Twitter wa Mahakama Kuu, Jaji Ramadhani amefariki saa mbili asubuhi katika hospitali ya Agha Khan baada ya kuugua kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Pages