Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary
Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment