HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 21, 2020

MAZISHI YA BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,GEORGE SIMBACHAWENE,MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE


 Waziri  wa  Mambo  ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe  Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo  Marehemu  Boniface  Simbachawene  wakati  wa ibada ya  mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la  Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Spika  wa  Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima  za  mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri  wa  Mambo  ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu Boniface Simbachawene , wakati  wa ibada ya  mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani  Mpwapwa  mkoani  Dodoma.Picha  na Wizara ya Mambo ya  Ndani  ya  Nchi
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Dkt. Adelardus Kilangi akishiriki ibada ya kuhifadhi mwili wa Marehemu Boniface Simbachawene ambaye ni Baba Mzazi wa Waziri  wa  Mambo  ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, wakati  wa ibada ya  mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani  Mpwapwa  mkoani  Dodoma.Picha  na Wizara ya Mambo ya  Ndani  ya  Nchi
Waziri wa Nishati,Medard Kalemani akiweka shada juu ya kaburi la Baba Mzazi wa Waziri  wa  Mambo  ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu Boniface Simbachawene , wakati  wa ibada ya  mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la  Kibakwe , wilayani  Mpwapwa  mkoani  Dodoma.
Wajukuu wa Marehemu Boniface Simbachawene, Baba Mzazi wa Waziri  wa  Mambo  ya  Ndani  ya  Nchi, George Simbachawene, wakiweka shada juu ya kaburi wakati  wa ibada ya  mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la  Kibakwe , wilayani  Mpwapwa  mkoani  Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages