Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akisalimiana na Mwanafunzi
wa Darasa la Tano Shule ya Msingi Holly Cross ya Mjini Morogoro, Brian
Martin Martin leo huku wakichukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona walipokutana mjini Morogoro kwenye mapumziko ya Jumatatu ya
Pasaka. (Na Mpiga Picha Wetu).
![]() |
No comments:
Post a Comment