HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 28, 2020

MAJALIWA AMWAKILISHA JPM KATIKA MAZISHI YA NKURUNZIZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete  wakitoa heshima baada ya kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza katika mazishi yaliyofanyika Gitega nchini Burundi, Juni 26, 2020. Wa pili kushoto ni Mama Salma Kikwete na wa Nne kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Jilly Elibariki Maleko.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages