HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 12, 2020

MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS MAGUFULI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020. (Picha na Ikulu).
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua jingo la la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma.
 Maofisa wa Jeshi la Zimamoto wakipiga makofi wakati wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Jengo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao
Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

No comments:

Post a Comment

Pages