HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 30, 2020

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI WA KILOSA MKOANI MOROGORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanakijiji wa Ilonga Kilosa mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi
wa Kimamba Kilosa mjini hawaonekani pichani wakati akielekea kwenda kuweka jiwe la msindi ujenzi wa Mahandaki yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Jamii ya Kimasai katika Kijiji cha Parakuyo Kilosa mkoani
Morogoro wakati akielekea kwenye eneo la ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Pages