Mgombea Ubunge jimbo la Itilima, Njalu Daudi, akipokea karatasi zenye kura alizopigiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo hilo juzi kabla ya kutangazwa kuwa mshindi. Njalu Daudi alishinda kwa kura 521 akifuatiwa mshindi wa pili, Simoni Ngagani aliyepata kura 92 huku nafasi ya tatu ikishikwa na Magembe Cheyo aliyepata kura 7.
Mgombea Ubunge jimbo la Itilima, Njalu Daudi, akipokea karatasi zenye kura alizopigiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo hilo juzi kabla ya kutangazwa kuwa mshindi.
No comments:
Post a Comment