- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020.
- Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020.
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020.
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020 - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi hafla ya Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya C hamwino akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020. (Picha na Ikulu).
July 22, 2020
Home
Kitaifa
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA ZA TAKUKURU DODOMA
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA ZA TAKUKURU DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment