HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 29, 2020

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe akiwa na wanae na wajukuu kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakijiandaa kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Hayati Tatu Mzee
Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Mzee Benjamin
William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiomba dua baada ya kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Mzee Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiondoka kwa huzuni baada ya kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages