HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 28, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKISOMA RISALA KUFUATIA KIFO CHA MZEE MKAPA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma risala ya rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa, kilichotokea wiki iliyopita usiku wa kuamkia Ijumaa 24, Julai 2020. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages