Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali
Alain Guillaume (kushoto). Waziri Mkuu wa Burundi alifika leo Julai 27,
2020 Ofisi ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais na
Wananchi wa Jamhuri ya Burundi kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na watanzania kufuatia
kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Kulia ni Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
Kabudi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume, Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume , Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu).
No comments:
Post a Comment