Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa
Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Masasi Mjini alipowasili katika uwanja
wa Sabasaba Wilayani Masasi kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama
cha Mapinduzi CCM leo Septemba 13,2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la
Masasi Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye
Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Masasi
Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Masasi Mjini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mtoto chipukizi wa Usanii wa Nyimbo za kizazi kipya Wilayani Masasi Mkoani Mtwara Shamsa Amani (3) baada ya kutumbuiza kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na
Wananchi wa Jimbo la Masasi Mjini baada ya kuwahutubia mkutano wa kampeni za Chama
cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo
Septemba 13,2020. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment