Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo ameshiriki hafla ya Mwaka Mpya wa Kihindu
ambapo ametoa wito kwa Wahindi na wananchi kwa ujumla kuendelea kumuombea Rais
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Katika Muhula wa pili wa uongozi ili aweze kutimiza
yote aliyoahidi.
Aidha RC Kunenge ametoa Rai kwa wananchi wa Mkoa huo kulipa Kodi ili kuiwezesha Serikali kutoa huduma.
No comments:
Post a Comment