HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 01, 2020

TCU YAFUNGUA AWAMU YA TATU YA UDAHILI

 
Katbu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki kuhusu kuongeza muda wa udahili kwa kufungua Awamu ya Tatu na ya mwisho ya udahili iliyoanza Oktoba 30 hadi Novemba 4, 2020.


No comments:

Post a Comment

Pages