HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 01, 2020

PAMBANO LA SIMBA NA MWADUI KATIKA PICHA

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude, akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-0. (Picha na John Dande).
Kiungo wa Simba Clatous Chama, akitafuta mbinu zakuwatoka wachezaji wa Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Winga wa Simba Rally Bwallya, akimtoka winga wa Mwadui FC,  Herman Masenga, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages