Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia Saini kitabu cha
kumbukumbu ya maombolezo kufuatia Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam leo leo March 19,2021. (Pichaa Ofisi ya
Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment