Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli
wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea katika Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea
Marehemu.
Picha namba 3. Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay mara baada ya kuwasili.Waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay wakilia wakati Jeneza lenye mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukitolewa Kanisani hapo. Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment