Viongozi mbalimbali wakiwa katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa BAKWATA, Jabir Nuhu Mruma.
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Deodatus Kinawilo akiwa katika mazungumzao na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Jabir Nuhu Mruma.
Na Lydia Lugakila, Kagera
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Mwl. Jabir Nuhu Mruma amewasili mkoani Kagera kwa ajili ya matukio mawili likiwemo la Maulid na harambee maalum harambee.
Matukio hayo mawili likiwemo la kuhudhuria Maulid na harambee maalum iliyoandaliwa na BAKWATA mkoani Kagera kwa kushirikiana na akina mama wa kiislam wa kamachumu ni kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa shule ya msingi Kamachumu Islamic English medium Primary iliyopo kammachumu.
Matukio hayo yatafanyika Februari 26 2021 katika viwanja vya shule hiyo ambapo wananchi Mkoani Kagera wameombwa kuunga mkono juhudi hizo.
Awali katibu mkuu huyo amepokelewa na viongozi mbali mbali wa dini wakiongozwa na sheikh mkuu wa Mkoa wa Kagera Alhaji Kichwabuta.
No comments:
Post a Comment