Mheshimiwa
Dkt. Philip Isdor Mpango akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim
Hamis Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla
fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisoma majina ya Mawaziri na
Manaibu Waziri aliowateua katika Baraza la Mawaziri mara baada ya kushuhudia
Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa
Ibrahim Hamis Juma kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment