Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor
Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga
Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga mara baada ya mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment