Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya mazungumzo yao Ikulu leo tarehe 28 Mei, 2021.
No comments:
Post a Comment