HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 21, 2021

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2020 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, katika halfla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 21,2021. Rais aliipongeza Tume kwa kuratibu na kusimamia uchaguzi huo Mkuu wa mwaka 2020 kwa ufanisi mkuu. (Picha na NEC).
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. 
Makamishna wa Tume na wageni mbalimbali waalikwa wakifutailia hafla ya kukabidhi ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 iliytokabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 wa Urais, Ubunge na Udiwani. Hafla ya kukabidhi ripoti hiyo ilifabyika , Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. 
Viongozi mbalimbali walihudhuria hafla hiyo yua kukabidhi ripoti ya Uchaguzi kwa Rais 
Viongozi mbalimbali walihudhuria hafla hiyo yua kukabidhi ripoti ya Uchaguzi kwa Rais 
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst), Mbarouk Salim Mbarouk na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Dk. Wilson Mahera Charles wakifuatilia hutuba ya Rais.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo (kushoto) akiwa kwenye hafla hiyo. 
Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia hotuba.
Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia hotuba.
Viongozi wa Juu wa Serikali wakifuatilia hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.





Picha mbalimbali za pamoja 



No comments:

Post a Comment

Pages