HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 23, 2021

SAFARI YA MWISHO YA MWALIMU KASHASHA

 

Baadhi ya wafanyakazi wa TBC Enock Bwigane na Chacha Maginga wakiwa na baadhi ya waombolezaji wengine katika makaburi ya Kinondoni wakati wa mazishi ya Mwalimu Alex Kashasha.

Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini.

 

Kaburi la marehemu Alex Kashasha.

 

Mjane wa marehemu (katikati) akiwa na watoto.


No comments:

Post a Comment

Pages