Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT Dkt. Stregomena Tax, akizungumza na waandishi wa Habari katika maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara na kazi zilizofanywa na wizara hiyo tangu uhuru upatikane. Mazungumzo hayo yalifanyika jijin Dodoma leo.
Naibu Mkurugenzi huyo akimkaribisha waziri kuzunguza nao.
Waandishi wa habari wakimsikiliza waziri alipkuwa akizngumza.
No comments:
Post a Comment