HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 25, 2021

Rais Samia afungua mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Jijini Dodoma



Rais, Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo  katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwiguru Nchemba, akizungumza katika mkutano huo wa 20 wa Taasisi za Fedha kabla ya kumkaribisha Rais Kuufungua.

Wanakwaya wa Benki Kuu ya Tanzania, wakimsikiliza Rais Suluhu hassan, alipokuwa akifungua Mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Tanzania Commerce Bank (TCB) Sabasaba Moshingi akizungumza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu za Zanzibar, Dkt. Muhsin Salim Masoud, baada ya Rais kufungua mkutano huo leo.

No comments:

Post a Comment

Pages