Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika Dkt. David Mnzava, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzingatiaji wa maadili ya kiutumishi kwa madaktari wa meno na watalamu wa Afya Shirikishi, mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, akizungumza na waandishi wa habari malipokuwa akiwaeleza wizara yake ilivyotekeleza majukumu kwa watanzania tangu kujipatia uhuru miaka 60. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma leo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki,akibadilishana mawazo na Makaimu katibu wake, Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo, Amosy Zephania na kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Uvuvi Dkt.Nazael Madalla.
No comments:
Post a Comment