HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 28, 2021

Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Museven wa Uganda washiriki katika kufunga Kongamano la Wafanyabiashara




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililohudhuriwa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 28 Novemba 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kufunga Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo tarehe 28 Novemba 2021.

No comments:

Post a Comment

Pages