Waziri
wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, akizungumza na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zamaradi Kawawa, kabla ya kuanza
kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea wizara hiyo ilivyotekeleza
majukumu ya wananchi wa Tanzania Tangu kujipatia uhuru wake miaka 60
iliyopita. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma leo, kulia ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome. Picha na Deus Mhagale.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sifuni Mchome, akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo Zamaradi Kawawa katikati ni Waziri wa Wizara hiyo Profesa Palamagamba Kabudi.
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, (kulia), akiondoka katika ukumbi wa mikutano baada ya kuzungumza na wanahabari.
No comments:
Post a Comment