HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2021

ULINZI WA NCHI NI WETU SOTE -SIMBACHAWENE

Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya  miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara,Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.

Baadhi ya maofisa aliombatana nao Waziri wakisikiliza waziri.

Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, akiondoka katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari.

No comments:

Post a Comment

Pages