HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2021

WAKULIMA WANAKOPESHEKA

Mkuu wa Idara ya Mauzo Kampuni ya Ilovo Sugar Africa, Ephraim Mafuru, akiwasilisha mada katika mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini uliomalizak leo jijini Dodoma, akiziomba Taasisi za fedha zikopesha wakulima. 

Naibu Gavana wa Benki Kuu, Dkt. Yamungu Kayandabila, akifunga kutano  leo wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini uliokuwa na lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya fedha. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Picha na Deus  Mhagale. 

No comments:

Post a Comment

Pages